Skip to content
Nomino za makundi hutumika kuonyeshea mkusanyiko wa nomino nyingi, kwa mfano, mlolongo wa magari, umati wa watu na kadhalika.
#1. ................................cha askari.
#2. .................................la wazee.
#3. .............................la kuni.
#4. .................................... la wanafunzi.
#5. .....................................wa miti.
#6. ......................la mvua.
#7. .................................la nguo.
#8. ...............................wa ndizi.
#9. ....................................la noti.
#10. .....................................wa watoto.
#11. ...................................cha funguo.
#12. ................................. la takataka.
#13. ..........................la viatu.
#14. .......................ya nyota.
#15. ....................la maua.
#16. ...................ya miaka.