Kiswahili to English Translation Quiz

Here’s a Kiswahili to English translation quiz that has to do with insects. Sentences containing different insects to be translated into English.

 

Results

#1. Mbu huuma watu na kusababisha malaria.

#2. Nyuki hutengeneza asali tamu.

#3. Panzi huonekana sana kwa nyasi.

#4. Kunguni huishi kwenye magodoro.

#5. Taa za nje huvutia nondo usiku.

#6. Nikiona nyigu, mimi hukimbia kasi.

#7. Mende hukimbia haraka wanapoona mwanga.

#8. Viroboto huishi kwenye manyoya ya wanyama.

#9. Kupe hujishikilia kwa ngozi ya mnyama na kunyonya damu.

Previous
Finish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *