Visawe – Zoezi (Chagua Kisawe Kifaacho)

 

Results

#1. WATU wanapaswa kupendana.

#2. Kwani yule mwanamke ni ADUI wako?

#3. MSICHANA yule ni mrembo kwelikweli.

#4. Huyo MVULANA ni mkorofi.

#5. Nilienda SOKONI kununua machungwa, maembe na parachichi.

#6. Mkulima alishikwa na HASIRA wakati hakuvuna chochote.

#7. LENGO la Miksha Patel ni kushinda mashindano ya kuogelea.

#8. TAJIRI alikwenda kijijini na kununulia maskini wote chakula.

#9. Mwezi huu sijakua na PESA. Nimeshindwa hata kununua viatu vipya.

#10. Aina hii ya UVIVU haisaidii nchi.

#11. UGONJWA huu unatokana na kula vyakula vilivyosindikwa.

#12. Polisi huyo anapenda kuomba RUSHWA.

#13. Alipelekwa JELA kwasababu ya kumpiga jirani yake.

Previous
Finish

One thought on “Visawe – Zoezi (Chagua Kisawe Kifaacho)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *