Chagua kivumishi kirejeshi amba- kinachofaa.
#1. Ninampenda mtu ……………………. husaidia wengine.
#2. Mbwa …………… amepigwa vibaya ni yule.
#3. Nchi ……………… ningependa kuitembelea ni Africa Kusini.
#4. Mkono …………. umeumia ni huu.
#5. Kisu ………… kimenikata ni hiki.
#6. Vyakula ……………. vilitufanya tuendeshe ni vile.
#7. Jino ………….. linauma ni gai?
#8. Mfuko ………………. umeraruka ni huu.
#9. Ng’ombe ……………… wamechinjwa ni wale.
#10. Mazingira …………… yanavutia zaidi ni yale ya Karen.
#11. Chumba …………….. kina uchafu zaidi ni kile.