Ngeli za Kiswahili – Zoezi

Umepewa orodha ya maneno. Onyesha kama maneno haya yako katika ngeli ya A/WA au ngeli ya U/I.

 

Results

#1. Kiroboto

#2. Kipepeo

#3. Mikono

#4. Mguu

#5. Ndovu

#6. Mwavuli

#7. Mswaki

#8. Daktari

#9. Mlipuko

#10. Mrembo

#11. Mlolongo

#12. Tausi

#13. Jongoo

#14. Mende

#15. Mbilikimo

#16. Chura

#17. Moyo

Previous
Finish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *