Skip to content
#1. Afahamu kuchora lakini hajui achoracho.
#2. Huko ng’o na kule ng’o
#5. Babu hupiga kelele akojoapo.
#6. Bak bandika, bak bandua.
#7. Fika umwone umpendaye.
#8. Hachelewi wala hakosei safari zake.
#10. Hula lakini hashibi.
#12. Kina mikono na uso lakini hakina uhai.
#14. Nina mwezi ndani ya bakuli.
#15. Ninakwenda naye na kurudi naye.
#16. Nameza lakini sishibi.
#17. Natembea juu ya miiba lakini sichomwi.
#18. Ndege wengi baharini.
#19. Panda ngazi polepole.
#20. Taa ya Mwarabu inapepea.
#22. Nyumba yangu kubwa lakini haina mlango.
#23. Kafunua jicho kundu.