Zoezi la Kiswahili – Kukanusha

Results

#1. nilioga

#2. Omondi ni mwimbaji mzuri.

#3. Mwizi huyo alichapwa vibaya.

#4. Tunaandika

#5. Rehema alicheza sana.

#6. Alisoma kwa bidii.

#7. Uliumia sana.

#8. Alishiba kupindukia.

#9. Mkulima alivuna mazao mengi.

#10. Alianzisha biashara mwezi uliopita.

#11. Nilitabasamu nilipomwona.

#12. Nilihisi njaa baada ya kucheza mchezo wa kandanda.

Finish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *