Tanakali Za Sauti – ZOEZI

Tanakali za sauti ni mbinu ya kutumia maneno yanayoiga sauti au hali fulani. Pia tanakali za sauti huonyesha namna kitendo kilivyofanyika. Kwa mfano kuanguka pa!

Results

HONGERA!

#1. Kuanguka

#2. Kuanguka majini

#3. Maji yalimwagika

#4. Kumulika

#5. Alibebwa

#6. Alipukutikwa na machozi

#7. Viazi vimejaa

#8. Mbwa huyo alibweka

#9. Kuchinja

#10. Kucheka

#11. Kulia

#12. Maji yamechemka

#13. Kijana yule ni mweusi

#14. Binti yule ni mweupe

#15. Kujifunika

#16. Amelala

#17. Kurarua

#18. Kuteleza

#19. Mohammed alitokwa na jasho

#20. Amechoka

#21. Baba Rehema amelewa

#22. Kumaliza

#23. Alianguka matopeni

#24. Shilingi zilianguka sakafuni

#25. Kutulia

#26. Kunyamaza

#27. Alipigwa

#28. Nimekataa

#29. Nywele yake imenyooka

#30. Moyo wangu ulidunda

#31. Kitabu changu kimepotea

Finish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *