Malipo Mbalimbali – Zoezi

 

Results

#1. Malipo ya kusafiria

#2. Malipo ya kuoa

#3. Malipo ambayo hulipwa ili kitu kisije kikanunuliwa na mtu mwingine (deposit)

#4. Malipo/zawadi anayopewa mtu baada ya kufanya jambo zuri

#5. Pesa zinazotumiwa kwa matumizi safarini

#6. Malipo anayolipwa mtu kila mwezi kwa kazi alioajiriwa kufanya

#7. Fedha zitolewazo na mshtakiwa anayekabiliwa na mashtaka mahakamani (bond)

#8. Malipo au ada itolewalo kwa mganga

#9. Zawadi anayopewa mtu aliyekipata kitu kilichokuwa kinatafutwa baada ya kupotea

#10. Mali au vitu vinavyoachwa na marehemu na kupewa mtu fulani.

Previous
Finish

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *