Malipo Mbalimbali – Zoezi

Akisami – Fractions in Kiswahili

1/2 – Nusu 1/3 – Theluthi 1/4 – Robo 1/5 – Humusi 1/6 – Sudusi 1/7 – Subui 1/8 – Thumni 1/9 – Tusui 1/10 – Ushuri

A List of Insects/ Small Animals in English – Wadudu

Ant – Siafu Bee – Nyuki Butterfly – Kipepeo Bedbug – Kunguni Centipede – Tandu Cockroach – Mende au Kombamwiko Cricket – Nyenje Dragonfly – Kerengede Flea – Chawa Housefly…

CBC Gredi La 5 – Nomino za Makundi

Nomino za makundi hutumika kuonyeshea mkusanyiko wa nomino nyingi, kwa mfano, mlolongo wa magari, umati wa watu na kadhalika.

Methali Za Kiswahili – Zoezi La Pili

Zoezi La CBC Grade 5 Kiswahili – Vinyume

Methali za Kiswahili – Zoezi La Kwanza