Visawe – Zoezi (Chagua Kisawe Kifaacho)

Body Parts in Kiswahili Quiz? How Well Will You Score?

Grade 6 Kiswahili – Zoezi – Kivumishi kirejeshi ‘AMBA’

Chagua kivumishi kirejeshi amba- kinachofaa.

Ngeli za Kiswahili – Zoezi

Umepewa orodha ya maneno. Onyesha kama maneno haya yako katika ngeli ya A/WA au ngeli ya U/I.

Zoezi – Vitendawili

Viungo vya mwili

Utapata hapa orodha ya viungo vya binadamu vya ndani vilivyotafsiriwa kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Head – Kichwa Ear – Sikio(Masikio) Nose – Pua Mouth – Kinywa, Mdomo Gum – Ufizi…

Zoezi la Kiswahili – Kukanusha

Tanakali Za Sauti – ZOEZI

Tanakali za sauti ni mbinu ya kutumia maneno yanayoiga sauti au hali fulani. Pia tanakali za sauti huonyesha namna kitendo kilivyofanyika. Kwa mfano kuanguka pa!

Malipo Mbalimbali – Zoezi

Akisami – Fractions in Kiswahili

1/2 – Nusu 1/3 – Theluthi 1/4 – Robo 1/5 – Humusi 1/6 – Sudusi 1/7 – Subui 1/8 – Thumni 1/9 – Tusui 1/10 – Ushuri