Tanakali Za Sauti – ZOEZI

Tanakali za sauti ni mbinu ya kutumia maneno yanayoiga sauti au hali fulani. Pia tanakali za sauti huonyesha namna kitendo kilivyofanyika. Kwa mfano kuanguka pa!